Psalms 78:57 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ila waligeuka na kufanya mabaya kama wazee wao; wakayumbayumba kama upinde usio imara.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kama baba zao, hawakuwa thabiti wala waaminifu, wakawa wasioweza kutegemewa kama upinde wenye kasoro.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bali walirudi nyuma, wakahaini kama baba zao; Wakaepea kama upinde usiofaa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ila waligeuka na kufanya mabaya kama wazee wao; wakayumbayumba kama upinde usio imara.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama baba zao, hawakuwa thabiti wala waaminifu, wakawa wasioweza kutegemewa kama upinde wenye kasoro.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama baba zao, hawakuwa thabiti wala waaminifu, wakawa wasioweza kutegemewa kama upinde wenye kasoro.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Bali walirudi nyuma, wakahaini kama baba zao; Wakayumba kama upinde usiofaa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ila waligeuka na kufanya mabaya kama wazee wao; wakayumbayumba kama upinde usio imara.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wakarudi nyuma kwa udanganyifu wao kama baba zao, wakapinduka kama upindi usiotegemeka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Bali walirudi nyuma, wakahaini kama baba zao; Wakaepea kama upinde usiofaa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini waligeuka na kufanya mabaya kama babu zao; wakayumbayumba kama upinde usiokuwa imara.