Psalms 78:58 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walimkasirisha kwa madhabahu zao za miungu; wakamchochea aone wivu kwa sanamu zao za kuchonga.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakamkasirisha Mungu kwa mahali pao pa juu pa kuabudia, wakachochea wivu wake kwa sanamu zao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakamkasirisha kwa mahali pao pa juu, Wakamtia wivu kwa sanamu zao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walimkasirisha kwa madhabahu zao za miungu; wakamchochea aone wivu kwa sanamu zao za kuchonga.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakamkasirisha Mungu kwa mahali pao pa juu pa kuabudia miungu, walichochea wivu wake kwa sanamu zao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakamkasirisha Mungu kwa mahali pao pa juu pa kuabudia miungu, wakachochea wivu wake kwa sanamu zao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakamkasirisha kwa mahali pao pa juu, Wakamtia wivu kwa sanamu zao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walimkasirisha kwa madhabahu zao za miungu; wakamchochea aone wivu kwa sanamu zao za kuchonga.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa kutambika vilimani juu wakamkasirisha, kwa kuvitambikia vinyago vya wakamtia wivu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakamkasirisha kwa mahali pao pa juu, Wakamtia wivu kwa sanamu zao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Walimukasirikisha kwa mazabahu zao za miungu; wakamutia wivu kwa sanamu zao za kuchongwa.