Psalms 78:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
ili watu wa kizazi kijacho, watoto watakaozaliwa baadaye, wazijue, nao pia wawajulishe watoto wao,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ili kizazi kijacho kizijue, pamoja na watoto ambao watazaliwa, nao pia wapate kuwaeleza watoto wao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ili kizazi kingine wawe na habari, Ndio hao wana watakaozaliwa. Wasimame na kuwaambia wana wao
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
ili watu wa kizazi kijacho, watoto watakaozaliwa baadaye, wazijue, nao pia wawajulishe watoto wao,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ili kizazi kijacho kizijue, pamoja na watoto ambao watazaliwa, nao pia kwa wakati wao wapate kuwaeleza watoto wao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ili kizazi kijacho kizijue, pamoja na watoto ambao watazaliwa, nao pia wapate kuwaeleza watoto wao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ili kizazi kingine wawe na habari, Ndio hao wana watakaozaliwa. Wasimame na kuwaambia wana wao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
ili watu wa kizazi kijacho, watoto watakaozaliwa baadaye, wazijue, nao pia wawajulishe watoto wao,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
kusudi wao wa vizazi vijavyo nyuma wayajue nao, kwamba nao watakapokua wayasimulie watoto wao,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ili kizazi kingine wawe na habari, Ndio hao wana watakaozaliwa. Wasimame na kuwaambia wana wao
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
kusudi watu wa kizazi kinachokuja, watoto watakaozaliwa kisha, wazijue, nao pia wawajulishe watoto wao,