Psalms 78:67 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini aliikataa jamaa ya Yosefu, wala hakulichagua kabila la Efraimu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo alipoyakataa mahema ya Yusufu, hakulichagua kabila la Efraimu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ila akaikataa hema ya Yusufu; Wala hakuichagua kabila ya Efraimu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini aliikataa jamaa ya Yosefu, wala hakulichagua kabila la Efraimu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo alipozikataa hema za Yosefu, hakulichagua kabila la Efraimu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo alipozikataa hema za Yusufu, hakulichagua kabila la Efraimu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ila akaikataa hema ya Yusufu; Wala hakuichagua kabila la Efraimu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini aliikataa jamaa ya Yosefu, wala hakulichagua kabila la Efraimu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akakitupa kituo cha Yosefu, nao ukoo wa Efuraimu hakuuchagua.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ila akaikataa hema ya Yusufu; Wala hakuichagua kabila ya Efraimu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alikataa wazao wa Yosefu, wala hakuchagua kabila la Efuraimu.