Psalms 78:70 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alimchagua Daudi, mtumishi wake, akamtoa katika kazi ya kuchunga kondoo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akamchagua Daudi mtumishi wake na kumtoa kwenye mazizi ya kondoo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akamchagua Daudi, mtumishi wake, Akamwondoa katika mazizi ya kondoo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alimchagua Daudi, mtumishi wake, akamtoa katika kazi ya kuchunga kondoo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akamchagua Daudi mtumishi wake na kumtoa kutoka kwenye mazizi ya kondoo,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akamchagua Daudi mtumishi wake na kumtoa kwenye mazizi ya kondoo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akamchagua Daudi, mtumishi wake, Akamwondoa katika mazizi ya kondoo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alimchagua Daudi, mtumishi wake, akamtoa katika kazi ya kuchunga kondoo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha akamchagua mtumishi wake Dawidi, aje kumtumikia; kwenye mazizi ya kondoo ndiko, alikomchukua.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akamchagua Daudi, mtumishi wake, Akamwondoa katika mazizi ya kondoo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alimuchagua Daudi, mutumishi wake, akamutoa katika kazi ya kuchunga kondoo.