Psalms 78:71 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alimtoa katika kazi ya kuchunga kondoo na wanakondoo, awe na jukumu la kuchunga watu wa Yakobo taifa lake. Achunge Israeli, watu wake Mungu mwenyewe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kutoka kuchunga kondoo alimleta kuwa mchungaji wa watu wake Yakobo, wa Israeli urithi wake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nyuma ya kondoo wanyonyeshao alimwondoa, Awachunge Yakobo watu wake, na Israeli urithi wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alimtoa katika kazi ya kuchunga kondoo na wanakondoo, awe na jukumu la kuchunga watu wa Yakobo taifa lake. Achunge Israeli, watu wake Mungu mwenyewe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kutoka kuchunga kondoo alimleta kuwa mchungaji wa watu wake Yakobo, na Israeli urithi wake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kutoka kuchunga kondoo alimleta kuwa mchungaji wa watu wake Yakobo, wa Israeli urithi wake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nyuma ya kondoo wanyonyeshao alimwondoa, Awachunge Yakobo watu wake, na Israeli urithi wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alimtoa katika kazi ya kuchunga kondoo na wanakondoo, awe na jukumu la kuchunga watu wa Yakobo taifa lake. Achunge Israeli, watu wake Mungu mwenyewe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
akamtoa kwenye kondoo wanyonyeshao, awachunge walio ukoo wake Yakobo pamoja nao walio fungu lake Isiraeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nyuma ya kondoo wanyonyeshao alimwondoa, Awachunge Yakobo watu wake, na Israeli urithi wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alimutoa katika kazi ya kuchunga kondoo na wana-kondoo, akuwe na madaraka ya kuchunga watu wa Yakobo taifa lake, achunge Israeli, watu wa pekee wa Mungu.