Psalms 79:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
(Zaburi ya Asafu) Ee Mungu, watu wasiokujua wameivamia nchi yako. Wamelitia najisi hekalu lako takatifu, na kuufanya mji wa Yerusalemu kuwa magofu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mungu, mataifa yameuvamia urithi wako, wamelinajisi Hekalu lako takatifu, wameifanya Yerusalemu kuwa magofu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Mungu, mataifa wameingia katika urithi wako, Wamelinajisi hekalu lako takatifu. Wamefanya Yerusalemu chungu chungu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ee Mungu, watu wasiokujua wameivamia nchi yako. Wamelitia najisi hekalu lako takatifu, na kuufanya mji wa Yerusalemu kuwa magofu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(Zaburi Ya Asafu) Ee Mungu, mataifa yameuvamia urithi wako, wamelinajisi Hekalu lako takatifu, wameifanya Yerusalemu kuwa magofu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee Mungu, mataifa yameuvamia urithi wako, wamelinajisi Hekalu lako takatifu, wameifanya Yerusalemu kuwa magofu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee Mungu, mataifa wameingia katika urithi wako, Wamelinajisi hekalu lako takatifu. Wamefanya Yerusalemu chungu chungu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ee Mungu, watu wasiokujua wameivamia nchi yako. Wamelitia najisi hekalu lako takatifu, na kuufanya mji wa Yerusalemu kuwa magofu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mungu, wamizimu wameuingia mji ulio fungu lako, wakalichafua Jumba lako lililo takatifu, Yerusalemu wakaugeuza kuwa mabomoke tu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee Mungu, mataifa wameingia katika urithi wako, Wamelinajisi hekalu lako takatifu. Wamefanya Yerusalemu chungu chungu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Zaburi ya Asafu. Ee Mungu, watu wasiokujua wameshambulia inchi yako. Wamechafua hekalu lako takatifu, wameugeuza Yerusalema kuwa mabomoko.