Psalms 79:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kilio cha hao wafungwa kikufikie; kwa nguvu yako kuu uwaokoe waliohukumiwa kufa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kilio cha huzuni cha wafungwa kifike mbele zako; kwa nguvu za mkono wako hifadhi wale waliohukumiwa kufa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kuugua kwake aliyefungwa Na kuingie mbele zako. Kwa kadiri ya uweza wa mkono wako Uwahifadhi wana wa mauti.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kilio cha hao wafungwa kikufikie; kwa nguvu yako kuu uwaokoe waliohukumiwa kufa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kilio cha huzuni cha wafungwa kifike mbele zako; kwa nguvu za mkono wako hifadhi wale waliohukumiwa kufa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kilio cha huzuni cha wafungwa kifike mbele zako; kwa nguvu za mkono wako hifadhi wale waliohukumiwa kufa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kuugua kwake aliyefungwa Na kuingie mbele zako. Kwa kadiri ya uweza wa mkono wako Uwahifadhi waliohukumiwa kufa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kilio cha hao wafungwa kikufikie; kwa nguvu yako kuu uwaokoe waliohukumiwa kufa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sharti hivyo, walio kifungoni wanavyopiga kite, vifike mbele yako, kwa nguvu zamkono wako zilizo kuu uwaokoe kufani hao wanao!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kuugua kwake aliyefungwa Na kuingie mbele zako. Kwa kadiri ya uweza wa mkono wako Uwahifadhi wana wa mauti.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kilio cha hao wafungwa kikufikie; kwa nguvu yako kubwa uwaokoe waliohukumiwa kufa.