Psalms 79:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mataifa hayo yaliyokudharau, ee Bwana, yalipizwe mara saba!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Walipize majirani zetu mara saba aibu walizovurumisha kwako, Ee Bwana.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Uwalipe jirani zetu mara saba vifuani mwao Laumu zao walizokulaumu, Ee Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mataifa hayo yaliyokudharau, ee Bwana, yalipizwe mara saba!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Walipize jirani zetu mara saba vifuani mwao aibu walizovurumisha juu yako, Ee BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Walipize jirani zetu mara saba vifuani mwao aibu walizovurumisha juu yako, Ee bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Uwalipe jirani zetu mara saba vifuani mwao Laumu zao walizokulaumu, Ee Bwana.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mataifa hayo yaliyokudharau, ee Bwana, yalipizwe mara saba!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Majirani zetu uwarudishie mara saba vifuani mwao vyote, walivyokusimangia wewe, Bwana!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Uwalipe jirani zetu mara saba vifuani mwao Laumu zao walizokulaumu, Ee Bwana.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Bwana, uwalipize mataifa jirani mara saba kwa ajili ya matusi waliyokutukana.