Psalms 79:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nasi watu wako, tulio kondoo wa kundi lako, tutakushukuru milele, na kukusifu nyakati zote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo sisi watu wako, kondoo wa malisho yako, tutakusifu milele; tutasimulia sifa zako kizazi hadi kizazi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na sisi tulio watu wako, Na kondoo za malisho yako, Tutakushukuru milele; Tutazisimulia sifa zako kizazi kwa kizazi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nasi watu wako, tulio kondoo wa kundi lako, tutakushukuru milele, na kukusifu nyakati zote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo sisi watu wako, kondoo wa malisho yako, tutakusifu milele; toka kizazi hadi kizazi tutasimulia sifa zako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo sisi watu wako, kondoo wa malisho yako, tutakusifu milele; toka kizazi hadi kizazi tutasimulia sifa zako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na sisi tulio watu wako, Na kondoo za malisho yako, Tutakushukuru milele; Tutazisimulia sifa zako kizazi hadi kizazi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nasi watu wako, tulio kondoo wa kundi lako, tutakushukuru milele, na kukusifu nyakati zote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, sisi tulio ukoo wako na kindoo, unaowachunga, tukapokutolea shukrani kale na kale, tukisimulia vizazi na vizazi, ya kuwa inapasa kukushangilia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na sisi tulio watu wako, Na kondoo za malisho yako, Tutakushukuru milele; Tutazisimulia sifa zako kizazi kwa kizazi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nasi watu wako, sisi kondoo wa kundi lako, tutakushukuru milele, na kukusifu nyakati zote.