Psalms 79:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wameacha maiti za watumishi wako ziliwe na ndege, miili ya watu wako chakula cha wanyama wa porini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wametoa maiti za watumishi kuwa chakula cha ndege wa angani na nyama ya watakatifu wako kwa wanyama wa nchi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wameziacha maiti za watumishi wako Ziwe chakula cha ndege wa angani. Na miili ya watauwa wako Iwe chakula cha wanyama wa nchi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wameacha maiti za watumishi wako ziliwe na ndege, miili ya watu wako chakula cha wanyama wa porini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wametoa maiti za watumishi kuwa chakula cha ndege wa angani na nyama ya watakatifu wako kwa wanyama wa nchi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wametoa maiti za watumishi kuwa chakula cha ndege wa angani na nyama ya watakatifu wako kwa wanyama wa nchi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wameziacha maiti za watumishi wako Ziwe chakula cha ndege wa angani. Na miili ya watauwa wako Iwe chakula cha wanyama wa nchi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wameacha maiti za watumishi wako ziliwe na ndege, miili ya watu wako chakula cha wanyama wa porini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mizoga ya watumishi wako wameitoa, iliwe na ndege wa angani, nayo miili yao wlaiokucha wamewapa nyama wa porini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wameziacha maiti za watumishi wako Ziwe chakula cha ndege wa angani. Na miili ya watauwa wako Iwe chakula cha wanyama wa nchi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wameacha maiti za watumishi wako zikuliwe na ndege, wametoa miili ya watu wako kwa wanyama wa pori.