Psalms 79:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Damu yao imemwagwa kama maji mjini Yerusalemu, wamelazwa humo na hakuna wa kuwazika.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wamemwaga damu kama maji kuzunguka Yerusalemu yote, wala hakuna yeyote wa kuwazika.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wamemwaga damu yao kama maji Pande zote za Yerusalemu, Wala hapakuwa na mzishi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Damu yao imemwagwa kama maji mjini Yerusalemu, wamelazwa humo na hakuna wa kuwazika.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wamemwaga damu kama maji kuzunguka Yerusalemu yote, wala hakuna ye yote wa kuwazika.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wamemwaga damu kama maji kuzunguka Yerusalemu yote, wala hakuna yeyote wa kuwazika.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wamemwaga damu yao kama maji Pande zote za Yerusalemu, Wala hapakuwa na mtu wa kuwazika.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Damu yao imemwagwa kama maji mjini Yerusalemu, wamelazwa humo na hakuna wa kuwazika.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Damu zao wakazimwaga kama maji, zizunguke Yerusalemu, tena hakuna aliyewazika hao waliokufa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wamemwaga damu yao kama maji Pande zote za Yerusalemu, Wala hapakuwa na mzishi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Damu yao imemwangwa kama maji katika Yerusalema, wamelazwa humo, wala hakuna wa kuwazika.