Psalms 79:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tumekuwa aibu kwa mataifa ya jirani, jirani zetu wanatucheka na kutudhihaki.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tumekuwa kitu cha aibu kwa majirani zetu, cha dharau na mzaha kwa wale wanaotuzunguka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tumekuwa lawama kwa jirani zetu, Mzaha na dhihaka kwao wanaotuzunguka.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tumekuwa aibu kwa mataifa ya jirani, jirani zetu wanatucheka na kutudhihaki.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tumekuwa kitu cha aibu kwa jirani zetu, cha dharau na mzaha kwa wale wanaotuzunguka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tumekuwa kitu cha aibu kwa jirani zetu, cha dharau na mzaha kwa wale wanaotuzunguka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tumekuwa lawama kwa jirani zetu, Mzaha na dhihaka kwao wanaotuzunguka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tumekuwa aibu kwa mataifa ya jirani, jirani zetu wanatucheka na kutudhihaki.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Majirani zetu tunaona soni kwao, maana watuzungukao wanatufyoza na kutusimanga.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tumekuwa lawama kwa jirani zetu, Mzaha na dhihaka kwao wanaotuzunguka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tunazarauliwa na mataifa jirani, jirani zetu wanatuchekelea na kutusimanga.