Psalms 79:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ee Mwenyezi-Mungu, je, utakasirika hata milele? Hasira yako ya wivu itawaka kama moto hata lini?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hata lini, Ee Mwenyezi Mungu? Je, wewe utakasirika milele? Wivu wako utawaka kama moto hadi lini?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Bwana, hata lini? Utaona hasira milele? Wivu wako utawaka kama moto?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ee Mwenyezi-Mungu, je, utakasirika hata milele? Hasira yako ya wivu itawaka kama moto hata lini?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hata lini, Ee BWANA? Je, wewe utakasirika milele? Wivu wako utawaka kama moto hadi lini?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hata lini, Ee bwana? Je, wewe utakasirika milele? Wivu wako utawaka kama moto hadi lini?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee BWANA, hadi lini? Utaona hasira milele? Wivu wako utawaka kama moto?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ee Mwenyezi-Mungu, je, utakasirika hata milele? Hasira yako ya wivu itawaka kama moto hata lini?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana, mpaka lini utatukasirikia? Itakuwa kale na kale? Wivu wako unachoma kama moto uwakao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee BWANA, hata lini? Utaona hasira milele? Wivu wako utawaka kama moto?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Yawe, utakasirika hata milele? Hasira yako itawaka kama moto hata wakati gani?