Psalms 79:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Uwamwagie watu wasiokujua hasira yako; naam, tawala zote zisizoheshimu jina lako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwaga ghadhabu yako kwa mataifa yasiyokukubali, juu ya falme za hao wasioliitia jina lako,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ukali wako uwamwagie mataifa wasiokujua, Na falme za hao wasioliitia jina lako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Uwamwagie watu wasiokujua hasira yako; naam, tawala zote zisizoheshimu jina lako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mwaga ghadhabu yako kwa mataifa yasiyokukubali, juu ya falme za hao wasioliitia jina lako,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mwaga ghadhabu yako kwa mataifa yasiyokukubali, juu ya falme za hao wasioliitia jina lako,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ukali wako uwamwagie mataifa wasiokujua, Na falme za hao wasioliitia jina lako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Uwamwagie watu wasiokujua hasira yako; naam, tawala zote zisizoheshimu jina lako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Makali yako wamwagie wamizimu wasiokujua, nazo nchi zenye wafalme wasiolitambikia Jina lako!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ukali wako uwamwagie mataifa wasiokujua, Na falme za hao wasioliitia jina lako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Uyamwangie mataifa yasiyokujua hasira yako, ndizo, tawala zote zisizoheshimu jina lako.