Psalms 79:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana wamemmeza Yakobo, taifa lako, wameteketeza kabisa makao yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kwa maana wamemrarua Yakobo na kuharibu nchi ya makao yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa maana wamemla Yakobo, Na matuo yake wameyaharibu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana wamemmeza Yakobo, taifa lako, wameteketeza kabisa makao yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwa maana wamemrarua Yakobo na kuharibu nchi ya makao yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwa maana wamemrarua Yakobo na kuharibu nchi ya makao yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa maana wamemla Yakobo, Na makao yake wameyaharibu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana wamemmeza Yakobo, taifa lako, wameteketeza kabisa makao yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani wamemla Yakobo, wakapabomoa, walipokuwa amekaa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maana wamemla Yakobo, Na matuo yake wameyaharibu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maana wamemeza wazao wa Yakobo, wameteketeza kabisa makao ya taifa lako.