Psalms 79:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Usituadhibu kwa sababu ya makosa ya wazee wetu. Huruma yako itujie haraka, maana tumekandamizwa mno!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Usituhesabie dhambi za baba zetu, huruma yako na itujie hima, kwa maana tu wahitaji mno.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Usikumbuke juu yetu maovu ya baba zetu, Rehema zako zije kutulaki hima, Kwa maana tumedhilika sana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Usituadhibu kwa sababu ya makosa ya wazee wetu. Huruma yako itujie haraka, maana tumekandamizwa mno!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Usituhesabie dhambi za baba zetu, huruma yako na itujie hima, kwa maana tu wahitaji mno.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Usituhesabie dhambi za baba zetu, huruma yako na itujie hima, kwa maana tu wahitaji mno.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Usikumbuke juu yetu maovu ya baba zetu, Rehema zako zije kutulaki haraka, Kwa maana tumeteseka sana.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Usituadhibu kwa sababu ya makosa ya wazee wetu. Huruma yako itujie haraka, maana tumekandamizwa mno!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Usizikumbuke manza, baba zetu walizozikora, ukitulipisha sisi! Huruma zako na zije kutufikia upesi! Kwani tumelegea sana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Usikumbuke juu yetu maovu ya baba zetu, Rehema zako zije kutulaki hima, Kwa maana tumedhilika sana.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Usituazibu kwa sababu ya makosa ya babu zetu. Huruma yako itufikie haraka, maana tumegandamizwa sana!