Psalms 79:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Utusaidie, ee Mungu, mwokozi wetu; kwa heshima ya jina lako utuokoe na kutusamehe dhambi zetu, kwa ajili ya jina lako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mungu Mwokozi wetu, utusaidie, kwa ajili ya utukufu wa jina lako; tuokoe na kutusamehe dhambi zetu kwa ajili ya jina lako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Mungu wa wokovu wetu, utusaidie, Kwa ajili ya utukufu wa jina lako. Utuokoe, utughofiri dhambi zetu, Kwa ajili ya jina lako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Utusaidie, ee Mungu, mwokozi wetu; kwa heshima ya jina lako utuokoe na kutusamehe dhambi zetu, kwa ajili ya jina lako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee Mungu Mwokozi wetu, utusaidie, kwa ajili ya utukufu wa jina lako; tuokoe na kutusamehe dhambi zetu kwa ajili ya jina lako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee Mungu Mwokozi wetu, utusaidie, kwa ajili ya utukufu wa jina lako; tuokoe na kutusamehe dhambi zetu kwa ajili ya jina lako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee Mungu wa wokovu wetu, utusaidie, Kwa ajili ya utukufu wa jina lako. Utuokoe, utusamehe dhambi zetu, Kwa ajili ya jina lako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Utusaidie, ee Mungu, mwokozi wetu; kwa heshima ya jina lako utuokoe na kutusamehe dhambi zetu, kwa ajili ya jina lako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mungu uliye mwokozi wetu, tusaidie, kwa ajili ya utukufu wa Jina lako tuopoe, kwa ajili ya Jina lako yafunike makosa yetu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee Mungu wa wokovu wetu, utusaidie, Kwa ajili ya utukufu wa jina lako. Utuokoe, utughofiri dhambi zetu, Kwa ajili ya jina lako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utusaidie, ee Mungu, mwokozi wetu kwa utukufu wa jina lako. Utuokoe na kutusamehe zambi zetu, kwa ajili ya jina lako.