Psalms 8:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa sifa za watoto wadogo na wanyonyao, umejiwekea ngome dhidi ya adui zako, uwakomeshe waasi na wapinzani wako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Midomoni mwa watoto wachanga na wanaonyonya umeamuru sifa, kwa sababu ya watesi wako, kumnyamazisha adui na mlipiza kisasi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Vinywani mwa watoto wachanga na wanyonyao Umeiweka misingi ya nguvu; Kwa sababu yao wanaoshindana nawe; Uwakomeshe adui na mijilipiza kisasi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa sifa za watoto wadogo na wanyonyao, umejiwekea ngome dhidi ya adui zako, uwakomeshe waasi na wapinzani wako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Midomoni mwa watoto wachanga na wanyonyao umeweka sifa, kwa sababu ya watesi wako, kuwanyamazisha adui na mlipiza kisasi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Midomoni mwa watoto wachanga na wanyonyao umeamuru sifa, kwa sababu ya watesi wako, kumnyamazisha adui na mlipiza kisasi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Vinywani mwa watoto wachanga na wanyonyao Umeiweka misingi ya nguvu; Kwa sababu yao wanaoshindana nawe; Uwakomeshe adui na mjilipiza kisasi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa sifa za watoto wadogo na wanyonyao, umejiwekea ngome dhidi ya adui zako, uwakomeshe waasi na wapinzani wako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Vinywani mwao watoto wachanga namo mwao wanyonyao ulijitengenezea tukuzo, upate kuwashinda wao wakupingiao, upate kumnyamazisha hata mchukivu naye ajilipizaye.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Vinywani mwa watoto wachanga na wanyonyao Umeiweka misingi ya nguvu; Kwa sababu yao wanaoshindana nawe; Uwakomeshe adui na mijilipiza kisasi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Yawe, Bwana wetu, jina lako linatukuzwa sana katika dunia yote! Utukufu wako unaenea mpaka juu ya mbingu!