Psalms 8:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nikiangalia mbingu, kazi ya vidole vyako, mwezi na nyota ulizozisimika huko,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nikiziangalia mbingu zako, kazi ya vidole vyako, mwezi na nyota, ulizoziratibisha,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nikiziangalia mbingu zako, kazi ya vidole vyako, Mwezi na nyota ulizoziratibisha;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nikiangalia mbingu, kazi ya vidole vyako, mwezi na nyota ulizozisimika huko,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nikiziangalia mbingu zako, kazi ya vidole vyako, mwezi na nyota, ulizoziratibisha,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nikiziangalia mbingu zako, kazi ya vidole vyako, mwezi na nyota, ulizoziratibisha,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nikiziangalia mbingu zako, kazi ya vidole vyako, Mwezi na nyota ulizoziratibisha;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nikiangalia mbingu, kazi ya vidole vyako, mwezi na nyota ulizozisimika huko,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ninapozitazama mbingu zako, vidole vyako vilizoziumba, hata mwezi nazo nyota, ulizoziweka wewe,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nikiziangalia mbingu zako, kazi ya vidole vyako, Mwezi na nyota ulizoziratibisha;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kutoka maneno ya watoto wadogo, hata wachanga, unaimarisha nguvu mbele ya waadui zako na kuwakomesha waasi na wapinzani wako.