Psalms 8:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
mtu ni nini, ee Mungu, hata umfikirie, binadamu ni nini hata umjali?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
mwanadamu ni kitu gani hata unamfikiria, binadamu ni nani hata unamjali?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mtu ni kitu gani hata umkumbuke, Na binadamu hata umwangalie?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
mtu ni nini, ee Mungu, hata umfikirie, binadamu ni nini hata umjali?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
mwanadamu ni kitu gani hata umkumbuke, binadamu hata umwangalie?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
mwanadamu ni kitu gani hata unamfikiria, binadamu ni nani hata unamjali?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mtu ni kitu gani hata umkumbuke, Na binadamu hata umwangalie?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
mtu ni nini, ee Mungu, hata umfikirie, binadamu ni nini hata umjali?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
basi, mtu ndio nini, umkumbuke? mwana wa mtu naye, umkague?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mtu ni kitu gani hata umkumbuke, Na binadamu hata umwangalie?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nikiangalia mbingu uliyoumba kwa vidole vyako, mwezi na nyota ulizozisimika huko,