Psalms 8:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Umemfanya awe karibu kama Mungu, umemvika fahari na heshima.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Umemfanya chini kidogo kuliko viumbe wa mbinguni, ukamvika taji la utukufu na heshima.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Umemfanya mdogo punde kuliko Mungu; Umemvika taji ya utukufu na heshima;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Umemfanya awe karibu kama Mungu, umemvika fahari na heshima.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Umemfanya mdogo punde kuliko Mungu, umemvika taji ya utukufu na heshima.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Umemfanya chini kidogo kuliko viumbe wa mbinguni, ukamvika taji ya utukufu na heshima.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Umemfanya mdogo kuliko Mungu; Umemvika taji la utukufu na heshima;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Umemfanya awe karibu kama Mungu, umemvika fahari na heshima.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ulimpunguza kidogo, asilingane na wewe, Mungu, lakini macheo na mapambo yenye utukufu ndiyo, uliyomvika.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Umemfanya mdogo punde kuliko Mungu; Umemvika taji ya utukufu na heshima;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
mutu ni nini, ee Mungu, hata umufikirie? Mwanadamu ni nini hata umujali?