Psalms 8:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ulimpa madaraka juu ya kazi zako zote; uliviweka viumbe vyote chini ya mamlaka yake:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Umemfanya mtawala juu ya kazi za mikono yako; umeweka vitu vyote chini ya miguu yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Umemtawaza juu ya kazi za mikono yako; Umevitia vitu vyote chini ya miguu yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ulimpa madaraka juu ya kazi zako zote; uliviweka viumbe vyote chini ya mamlaka yake:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Umemfanya mtawala juu ya kazi za mikono yako; umevitia vitu vyote chini ya miguu yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Umemfanya mtawala juu ya kazi za mikono yako; umeweka vitu vyote chini ya miguu yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Umemtawaza juu ya kazi za mikono yako; Umevitia vitu vyote chini ya miguu yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ulimpa madaraka juu ya kazi zako zote; uliviweka viumbe vyote chini ya mamlaka yake:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ukampa kuyatawala yote, mikono yako iliyoyafanya, yote pia ukayaweka kuwa chini miguuni pake:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Umemtawaza juu ya kazi za mikono yako; Umevitia vitu vyote chini ya miguu yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Umemufanya kuwa karibu sawa na Mungu, umemujaza utukufu na heshima.