Psalms 8:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kondoo, ng'ombe, na wanyama wa porini;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mifugo na makundi yote pia, naam, na wanyama wa kondeni,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kondoo, na ng'ombe wote pia; Naam, na wanyama wa kondeni;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
kondoo, ng'ombe, na wanyama wa porini;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kondoo, mbuzi na ng'ombe wote pia, naam, na wanyama wa kondeni,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mifugo na makundi yote pia, naam, na wanyama wa kondeni,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kondoo, na ng'ombe wote pia; Naam, na wanyama wa porini;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kondoo, ng'ombe, na wanyama wa porini;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
kondoo na ng'ombe wote pamoja, nao nyama wa porini,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kondoo, na ng’ombe wote pia; Naam, na wanyama wa kondeni;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ulimupa utawala juu ya vyote ulivyoviumba; uliweka viumbe vyote chini ya mamlaka yake: