Psalms 8:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ee Mwenyezi-Mungu, Bwana wetu, kweli jina lako latukuka duniani kote!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mwenyezi Mungu, Bwana wetu, tazama jinsi lilivyo tukufu jina lako duniani kote!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wewe, MUNGU, Bwana wetu, Jinsi lilivyo tukufu jina lako duniani mwote!
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ee Mwenyezi-Mungu, Bwana wetu, kweli jina lako latukuka duniani kote!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee BWANA, Bwana wetu, tazama jinsi lilivyo tukufu jina lako duniani mwote!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana, Bwana wetu, tazama jinsi lilivyo tukufu jina lako duniani mwote!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wewe, MUNGU, Bwana wetu, Jinsi lilivyo tukufu jina lako duniani kote!
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ee Mwenyezi-Mungu, Bwana wetu, kweli jina lako latukuka duniani kote!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana Mungu wetu, Jina lako hutukuka sana katika nchi zote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wewe, MUNGU, Bwana wetu, Jinsi lilivyo tukufu jina lako duniani mwote!
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
ndege, samaki, na viumbe vyote vya bahari.