Psalms 80:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
(Kwa Mwimbishaji: Mtindo wa Yungiyungi. Zaburi ya Asafu) Utege sikio, ewe Mchungaji wa Israeli, uwaongozaye wazawa wa Yosefu kama kondoo. Ewe ukaaye juu ya viumbe vyenye mabawa, uangaze,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mchungaji wa Israeli tusikie, wewe umwongozaye Yusufu kama kundi; wewe uketiye kwenye kiti cha enzi katikati ya makerubi, angaza
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wewe uchungaye Israeli, usikie, Wewe umwongozaye Yusufu kama kundi; Wewe uketiye juu ya makerubi, utoe nuru.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Utege sikio, ewe Mchungaji wa Israeli, uwaongozaye wazawa wa Yosefu kama kondoo. Ewe ukaaye juu ya viumbe vyenye mabawa, uangaze,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(Kwa Mwimbishaji: Mtindo Wa Yungiyungi. Zaburi Ya Asafu) Ee Mchungaji wa Israeli tusikie, wewe umwongozaye Yosefu kama kundi; wewe uketiye katika kiti cha enzi katikati ya makerubi, angaza
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee Mchungaji wa Israeli tusikie, wewe umwongozaye Yusufu kama kundi; wewe uketiye katika kiti cha enzi katikati ya makerubi, angaza
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wewe uchungaye Israeli, usikie, Wewe umwongozaye Yusufu kama kundi; Wewe uketiye juu ya makerubi, utoe nuru.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Utege sikio, ewe Mchungaji wa Israeli, uwaongozaye wazawa wa Yosefu kama kondoo. Ewe ukaaye juu ya viumbe vyenye mabawa, uangaze,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa mwimbishaji, auimbishe kama wimbo wa kwamba: Maua ya porini hushuhudia. Wimbo wa Asafu
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wewe uchungaye Israeli, usikie, Wewe umwongozaye Yusufu kama kundi; Wewe uketiye juu ya makerubi, utoe nuru.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa mukubwa wa waimbaji. Kwa mutindo wa wimbo. Zaburi ya Asafu.