Psalms 80:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Uliifunika milima kwa kivuli chake, na matawi yake yakawa kama mierezi mikubwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Milima ilifunikwa kwa kivuli chake, matawi yake yakafunika mierezi mikubwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Milima ilifunikwa kwa uvuli wake, Matawi yake ni kama mierezi ya Mungu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Uliifunika milima kwa kivuli chake, na matawi yake yakawa kama mierezi mikubwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Milima ilifunikwa kwa kivuli chake, matawi yake yakafunika mierezi mikubwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Milima ilifunikwa kwa kivuli chake, matawi yake yakafunika mierezi mikubwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Milima ilifunikwa kwa kivuli chake, Matawi yake ni kama mierezi ya Mungu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Uliifunika milima kwa kivuli chake, na matawi yake yakawa kama mierezi mikubwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ukaupanulia, uweze kutia mizizi yake, ukaieneza nchi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Milima ilifunikwa kwa uvuli wake, Matawi yake ni kama mierezi ya Mungu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Uliupalilia upate kukomaa, nao ukatoa mizizi na kuenea katika inchi yote.