Psalms 80:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Matawi yake yalienea mpaka baharini; machipukizi yake mpaka kando ya mto Eufrate.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Matawi yake yalienea hadi Baharini, machipukizi yake hadi kwenye Mto.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao uliyaeneza matawi yake hata baharini, Na vichipukizi vyake hata kunako Mto.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Matawi yake yalienea mpaka baharini; machipukizi yake mpaka kando ya mto Eufrate.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Matawi yake yalienea mpaka Baharini, machipukizi yake mpaka kwenye Mto.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Matawi yake yalienea mpaka Baharini, machipukizi yake mpaka kwenye Mto.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao uliyaeneza matawi yake hadi baharini, Na vichipukizi vyake hadi kunako Mto.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Matawi yake yalienea mpaka baharini; machipukizi yake mpaka kando ya mto Eufrate.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Milima ikafunikwa na kivuli chake, nayo miangati ya Mungu ikafunikwa na matawi yake mengi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao uliyaeneza matawi yake hata baharini, Na vichipukizi vyake hata kunako Mto.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Uliifunika milima kwa kivuli chake, na matawi yake yakakuwa kama mierezi mikubwa.