Psalms 80:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mbona ulibomoa kuta zilizouzunguka? Sasa kila apitaye anachuma zabibu zake;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mbona umebomoa kuta zake ili wote wapitao karibu wazichume zabibu zake?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa nini umezibomoa kuta zake, Wakauchuma wote wapitao njiani?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mbona ulibomoa kuta zilizouzunguka? Sasa kila apitaye anachuma zabibu zake;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mbona umebomoa kuta zake ili kwamba wote wapitao karibu wazichume zabibu zake?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mbona umebomoa kuta zake ili wote wapitao karibu wazichume zabibu zake?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa nini umezibomoa kuta zake, Wakauchuma wote wapitao njiani?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mbona ulibomoa kuta zilizouzunguka? Sasa kila apitaye anachuma zabibu zake;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ukayaendesha machipukizi yake mpaka baharini, nayo miche yake ukaifikisha kwenye mto mkubwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa nini umezibomoa kuta zake, Wakauchuma wote wapitao njiani?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Matawi yake yalienea mpaka kwa bahari; navyo vichipukizi vyake mpaka kando ya muto Furati.