Psalms 80:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
nguruwe mwitu wanauharibu, na wanyama wa porini wanautafuna!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nguruwe mwitu wanauharibu, na viumbe wa kondeni hujilisha humo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nguruwe wa msituni wanauharibu, Na hayawani wa kondeni wanautafuna.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
nguruwe mwitu wanauharibu, na wanyama wa porini wanautafuna!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nguruwe mwitu wanauharibu na wanyama wa kondeni hujilisha humo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nguruwe mwitu wanauharibu na wanyama wa kondeni hujilisha humo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nguruwe wa msituni wanauharibu, Na hayawani wa kondeni wanautafuna.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
nguruwe mwitu wanauharibu, na wanyama wa porini wanautafuna!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mbona umekibomoa kitalu chake, wote wapitao njia wakapata kuuchuma?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nguruwe wa msituni wanauharibu, Na hayawani wa kondeni wanautafuna.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mbona ulibomoa kuta zilizouzunguka? Sasa kila anayepita anachuma zabibu zake;