Psalms 80:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Utugeukie tena ee Mungu wa majeshi. Uangalie toka mbinguni, uone; ukautunze mzabibu huo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Turudie, Ee Mungu wa majeshi ya mbinguni! Tazama chini kutoka mbinguni na uone! Linda mzabibu huu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Mungu wa majeshi, tunakusihi, urudi, Utazame toka juu uone, uujilie mzabibu huu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Utugeukie tena ee Mungu wa majeshi. Uangalie toka mbinguni, uone; ukautunze mzabibu huo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Turudie, Ee Mungu Mwenye Nguvu Zote! Tazama chini kutoka mbinguni na uone! Linda mzabibu huu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Turudie, Ee Mungu Mwenye Nguvu Zote! Tazama chini kutoka mbinguni na uone! Linda mzabibu huu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee Mungu wa majeshi, tunakusihi, urudi, Utazame toka juu uone, uujie mzabibu huu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Utugeukie tena ee Mungu wa majeshi. Uangalie toka mbinguni, uone; ukautunze mzabibu huo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nguruwe wa mwituni wakauchimbachimba, nao nyama wa porini wakaula.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee Mungu wa majeshi, tunakusihi, urudi, Utazame toka juu uone, uujilie mzabibu huu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
nguruwe wa mwitu wanauharibu, na wanyama wa pori wanautafuna!