Psalms 80:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Uulinde mche ulioupanda kwa mkono wako; hilo chipukizi uliloimarisha wewe mwenyewe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
mche ulioupanda kwa mkono wako wa kuume, mwana uliyemlea kwa ajili yako mwenyewe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na mche ule ulioupanda Kwa mkono wako wa kuume; Na tawi lile ulilolifanya Kuwa imara kwa nafsi yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Uulinde mche ulioupanda kwa mkono wako; hilo chipukizi uliloimarisha wewe mwenyewe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
mche ulioupanda kwa mkono wako wa kuume, mwana uliyemlea kwa ajili yako mwenyewe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
mche ulioupanda kwa mkono wako wa kuume, mwana uliyemlea kwa ajili yako mwenyewe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na mche ule ulioupanda Kwa mkono wako wa kulia; Na tawi lile ulilolifanya Kuwa imara kwa nafsi yako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Uulinde mche ulioupanda kwa mkono wako; hilo chipukizi uliloimarisha wewe mwenyewe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mungu Mwenye vikosi, tunakuomba: Rudi! Chungulia toka mbinguni, uvione! Huo mzabibu wako uutazama!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na mche ule ulioupanda Kwa mkono wako wa kuume; Na tawi lile ulilolifanya Kuwa imara kwa nafsi yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utugeukie tena, ee Mungu wa majeshi. Uangalie toka mbinguni, uone; uutunze muzabibu huu.