Psalms 80:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu walioukata na kuuteketeza, uwatazame kwa ukali, waangamie.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mzabibu wako umekatwa, umechomwa moto, unapowakemea, watu wako huangamia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Umechomwa moto; umekatwa; Kwa lawama ya uso wako wanapotea.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu walioukata na kuuteketeza, uwatazame kwa ukali, waangamie.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mzabibu wako umekatwa, umechomwa moto, kwa kuwakemea watu wako huangamia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mzabibu wako umekatwa, umechomwa moto, unapowakemea, watu wako huangamia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Umechomwa moto; umekatwa; Kwa lawama ya uso wako wanapotea.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu walioukata na kuuteketeza, uwatazame kwa ukali, waangamie.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Uuangalie! Maana mkono wako wa kuume ndio ulioupanda, ni mwanao, uliyemkuza na kumpa nguvu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Umechomwa moto; umekatwa; Kwa lawama ya uso wako wanapotea.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ulinde kijiti ulichokipanda kwa mukono wako; hicho kichipukizi ulichokomalisha wewe mwenyewe.