Psalms 80:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mkono wako umkinge huyo uliyemfadhili; huyo uliyemteua kwa ajili yako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mkono wako na utulie juu ya mtu aliye katika mkono wako wa kuume, mwana wa mtu uliyemlea kwa ajili yako mwenyewe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mkono wako na uwe juu yake Mtu wa mkono wako wa kuume; Juu ya mwanadamu uliyemfanya Kuwa imara kwa nafsi yako;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mkono wako umkinge huyo uliyemfadhili; huyo uliyemteua kwa ajili yako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mkono wako na utulie juu ya mtu aliyeko mkono wako wa kuume, mwana wa mtu uliyemlea kwa ajili yako mwenyewe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mkono wako na utulie juu ya mtu aliyeko mkono wako wa kuume, mwana wa mtu uliyemlea kwa ajili yako mwenyewe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mkono wako na uwe juu yake Mtu aliye katika mkono wako wa kulia; Juu ya mwanadamu uliyemfanya kuwa imara, Kwa nafsi yako;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mkono wako umkinge huyo uliyemfadhili; huyo uliyemteua kwa ajili yako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Umechomwa na moto, ukakatwakatwa; lakini kwa makaripio ya uso wako wataangamia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mkono wako na uwe juu yake Mtu wa mkono wako wa kuume; Juu ya mwanadamu uliyemfanya Kuwa imara kwa nafsi yako;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu walikikata na kukiteketeza, uwaangalie kwa ukali, waangamie.