Psalms 80:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hatutakuacha na kukuasi tena; utujalie uhai, nasi tutakusifu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo hatutakuacha tena, utuhuishe, nasi tutaliitia jina lako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi hatutakuacha kwa kurudi nyuma; Utuhuishe nasi tutaliitia jina lako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hatutakuacha na kukuasi tena; utujalie uhai, nasi tutakusifu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo hatutakuacha tena, utuhuishe nasi tutaliitia jina lako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo hatutakuacha tena, utuhuishe, nasi tutaliitia jina lako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha hatutakuacha kwa kurudi nyuma; Utuhuishe nasi tutaliitia jina lako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hatutakuacha na kukuasi tena; utujalie uhai, nasi tutakusifu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mtu, mkono wako wa kuume uliyemweka, mkono wako na umshike! Na umshike huyo mwana wa mtu, uliyemkuza na kumpa nguvu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi hatutakuacha kwa kurudi nyuma; Utuhuishe nasi tutaliitia jina lako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mukono wako umukinge huyo uliyemurehemu; huyo uliyemuchagua kwa ajili yako.