Psalms 80:19 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ee Mwenyezi-Mungu wa majeshi uturekebishe; utuangalie kwa wema, nasi tutaokoka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Bwana Mwenyezi Mungu, Mungu wa majeshi ya mbinguni, uturejeshe; utuangazie uso wako, ili tuweze kuokolewa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Bwana, Mungu wa majeshi, uturudishe, Uangazishe uso wako nasi tutaokoka.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ee Mwenyezi-Mungu wa majeshi uturekebishe; utuangalie kwa wema, nasi tutaokoka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee BWANA Mungu Mwenye Nguvu Zote, uturejeshe; utuangazie uso wako, ili tuweze kuokolewa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana Mungu Mwenye Nguvu Zote, uturejeshe; utuangazie uso wako, ili tuweze kuokolewa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee BWANA, Mungu wa majeshi, uturudishe, Uangaze uso wako nasi tutaokoka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ee Mwenyezi-Mungu wa majeshi uturekebishe; utuangalie kwa wema, nasi tutaokoka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nasi hatutaki kuondoka kwako wewe; kusudi tupate kulikuza Jina lako, tupe uzima tena!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee BWANA, Mungu wa majeshi, uturudishe, Uangazishe uso wako nasi tutaokoka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hatutakuacha tena; utujalie uzima, nasi tutakusifu.