Psalms 80:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wa majeshi, hata lini utazikasirikia sala za watu wako?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Bwana Mwenyezi Mungu, Mungu wa majeshi ya mbinguni, hata lini hasira yako itawaka dhidi ya maombi ya watu wako?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Bwana, Mungu wa majeshi, hata lini Utayaghadhibikia maombi ya watu wako?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wa majeshi, hata lini utazikasirikia sala za watu wako?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee BWANA Mungu Mwenye Nguvu Zote, hata lini hasira yako itawaka na kufoka moshi dhidi ya maombi ya watu wako?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana Mungu Mwenye Nguvu Zote, hata lini hasira yako itawaka na kufoka moshi dhidi ya maombi ya watu wako?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee BWANA, Mungu wa majeshi, hadi lini Utayaghadhibikia maombi ya watu wako?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wa majeshi, hata lini utazikasirikia sala za watu wako?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wewe Mungu, turudishe kwako! Utuangazie uso wako! Ndivyo, tutakavyookoka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee BWANA, Mungu wa majeshi, hata lini Utayaghadhibikia maombi ya watu wako?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utengeneze tena maisha yetu, ee Mungu; utuangalie kwa wema, nasi tutaokoka.