Psalms 80:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Umefanya huzuni iwe chakula chetu; umetunywesha machozi kwa wingi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Umewalisha kwa mkate wa machozi, umewafanya wanywe machozi bakuli tele.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Umewalisha mkate wa machozi, Umewanywesha machozi kwa kipimo kikuu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Umefanya huzuni iwe chakula chetu; umetunywesha machozi kwa wingi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Umewalisha kwa mkate wa machozi, umewafanya wanywe machozi bakuli tele.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Umewalisha kwa mkate wa machozi, umewafanya wanywe machozi bakuli tele.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Umewalisha mkate wa machozi, Umewanywesha machozi kwa kipimo kikuu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Umefanya huzuni iwe chakula chetu; umetunywesha machozi kwa wingi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana Mungu Mwenye vikosi, utakasirika mpaka lini, ijapo wakulalamikie walio ukoo wako?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Umewalisha mkate wa machozi, Umewanywesha machozi kwa kipimo kikuu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Yawe, Mungu wa majeshi, mpaka wakati gani utakasirikia maombi ya watu wako?