Psalms 80:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Umetufanya tuwe dharau kwa jirani zetu; maadui zetu wanatudhihaki.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tumekuwa chanzo cha ugomvi kwa majirani zetu, na adui zetu wanatudhihaki.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Unatufanya sababu ya ugomvi kwa jirani zetu, Na adui zetu wanacheka wao kwa wao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Umetufanya tuwe dharau kwa jirani zetu; maadui zetu wanatudhihaki.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tumekuwa chanzo cha ugomvi kwa jirani zetu, na adui zetu wanatudhihaki.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tumekuwa chanzo cha ugomvi kwa jirani zetu, na adui zetu wanatudhihaki.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Unatufanya sababu ya ugomvi kwa jirani zetu, Na adui zetu wanacheka wao kwa wao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Umetufanya tuwe dharau kwa jirani zetu; maadui zetu wanatudhihaki.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Umewalisha mikate iwalizayo, nayo machozi yao yakawa vinywaji, ulivyowanywesha kwa vikombe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Unatufanya sababu ya ugomvi kwa jirani zetu, Na adui zetu wanacheka wao kwa wao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Umefanya huzuni ikuwe chakula chetu; umetukunywesha machozi kwa wingi.