Psalms 80:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ulileta mzabibu kutoka Misri; ukawafukuza watu wa mataifa mengine, na kuupanda katika nchi yao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ulileta mzabibu kutoka Misri, ukawafukuza mataifa, ukaupanda.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ulileta mzabibu kutoka Misri, Ukawafukuza mataifa ukaupanda.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ulileta mzabibu kutoka Misri; ukawafukuza watu wa mataifa mengine, na kuupanda katika nchi yao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ulileta mzabibu kutoka Misri, ukawafukuza mataifa ukaupanda.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ulileta mzabibu kutoka Misri, ukawafukuza mataifa, ukaupanda.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ulileta mzabibu kutoka Misri, Ukawafukuza mataifa ukaupanda.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ulileta mzabibu kutoka Misri; ukawafukuza watu wa mataifa mengine, na kuupanda katika nchi yao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mungu Mwenye vikosi, turudishe kwako! Utuangazie uso wako! Ndivyo, tutakavyookoka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ulileta mzabibu kutoka Misri, Ukawafukuza mataifa ukaupanda.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Mungu wa majeshi, utengeneze tena maisha yetu, utuangalie kwa wema, nasi tutaokoka.