Psalms 80:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Uliupalilia upate kukua, nao ukatoa mizizi na kuenea kote nchini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Uliandaa shamba kwa ajili yake, mizizi ikawa imara, ukajaza nchi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ulitengeneza nafasi mbele yake, Nao ukatia mizizi sana ukaijaza nchi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Uliupalilia upate kukua, nao ukatoa mizizi na kuenea kote nchini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Uliandaa shamba kwa ajili yake, mizizi ikawa imara, ukajaza nchi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Uliandaa shamba kwa ajili yake, mizizi ikawa imara, ukajaza nchi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ulitengeneza nafasi mbele yake, Nao ukatia mizizi sana ukaijaza nchi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Uliupalilia upate kukua, nao ukatoa mizizi na kuenea kote nchini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Uko mzabibu, ulioung'oa kule Misri; ukafukuza wamizimu, ukaupanda mahali pao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ulitengeneza nafasi mbele yake, Nao ukatia mizizi sana ukaijaza nchi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Uliongoa muzabibu kutoka Misri; ukawafukuza watu wa mataifa, na kuupandikiza katika inchi yao.