Psalms 81:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
(Kwa Mwimbishaji: Mtindo wa Gitithi. Zaburi ya Asafu) Mwimbieni kwa sauti Mungu, nguvu yetu, mshangilieni Mungu wa Yakobo;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwimbieni kwa furaha, Mungu aliye nguvu yetu; mpigieni kelele za shangwe Mungu wa Yakobo!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mwimbieni Mungu, nguvu zetu, nyimbo za furaha, Mshangilieni Mungu wa Yakobo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwimbieni kwa sauti Mungu, nguvu yetu, mshangilieni Mungu wa Yakobo;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(Kwa Mwimbishaji: Mtindo Wa Gitithi. Zaburi Ya Asafu) Mwimbieni kwa furaha Mungu aliye nguvu yetu; mpigieni kelele za shangwe Mungu wa Yakobo!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mwimbieni kwa furaha, Mungu aliye nguvu yetu; mpigieni kelele za shangwe Mungu wa Yakobo!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mwimbieni Mungu, nguvu zetu, nyimbo za furaha, Mshangilieni Mungu wa Yakobo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwimbieni kwa sauti Mungu, nguvu yetu, mshangilieni Mungu wa Yakobo;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa mwimbishaji, wa kuimba kama wimbo wa wagemaji. Wa Asafu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mwimbieni Mungu, nguvu zetu, nyimbo za furaha, Mshangilieni Mungu wa Yakobo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa mukubwa wa waimbaji: kwa mutindo wa watu wa Gati. Zaburi ya Asafu.