Psalms 81:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, niliyekutoa katika nchi ya Misri. Fumbua kinywa chako, nami nitakulisha.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mimi ni Mwenyezi Mungu, Mungu wako, niliyekutoa nchi ya Misri. Panua sana kinywa chako nami nitakijaza.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mimi ndimi Bwana, Mungu wako, Niliyekupandisha toka nchi ya Misri; Fumbua sana kinywa chako nami nitakijaza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, niliyekutoa katika nchi ya Misri. Fumbua kinywa chako, nami nitakulisha.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mimi ni BWANA Mungu wako, niliyekutoa katika nchi ya Misri. Panua sana kinywa chako nami nitakijaza.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mimi ni bwana Mungu wako, niliyekutoa nchi ya Misri. Panua sana kinywa chako nami nitakijaza.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mimi ndimi BWANA, Mungu wako, Niliyekupandisha toka nchi ya Misri; Fumbua sana kinywa chako nami nitakijaza.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, niliyekutoa katika nchi ya Misri. Fumbua kinywa chako, nami nitakulisha.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwako kusiwe tena na mungu mgeni! Wala usitambikie mungu wa nchi nyingine!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mimi ndimi BWANA, Mungu wako, Niliyekupandisha toka nchi ya Misri; Fumbua sana kinywa chako nami nitakijaza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Usikuwe na mungu wa kigeni; usiabudu hata kidogo mungu mwingine.