Psalms 81:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Lakini watu wangu hawakunisikiliza; Israeli hakunitaka kabisa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Lakini watu wangu hawakunisikiliza; Israeli hakunitii.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini watu wangu hawakuisikiliza sauti yangu, Wala Israeli hawakunitaka.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Lakini watu wangu hawakunisikiliza; Israeli hakunitaka kabisa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Lakini watu wangu hawakutaka kunisikiliza; Israeli hakutaka kunitii.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Lakini watu wangu hawakutaka kunisikiliza; Israeli hakutaka kunitii.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini watu wangu hawakuisikiliza sauti yangu, Wala Israeli hawakunitaka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Lakini watu wangu hawakunisikiliza; Israeli hakunitaka kabisa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mungu wako, aliyekutoa katika nchi ya Misri ni mimi Bwana; kiasame kinywa chako, nikijaze!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini watu wangu hawakuisikiliza sauti yangu, Wala Israeli hawakunitaka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mimi ni Yawe, Mungu wako, niliyekutoa katika inchi ya Misri. Fungua kinywa chako, nami nitakulisha.