Psalms 81:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hivyo, nikawaacha wabaki na ukaidi wao; wafuate mashauri yao wenyewe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi niliwaacha katika ukaidi wa mioyo yao wafuate mashauri yao wenyewe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nikawaacha wakaenda kwa ukaidi wa mioyo yao, Waenende katika mashauri yao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hivyo, nikawaacha wabaki na ukaidi wao; wafuate mashauri yao wenyewe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi niliwaacha katika ukaidi wa mioyo yao wafuate mashauri yao wenyewe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi niliwaacha katika ukaidi wa mioyo yao wafuate mashauri yao wenyewe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nikawaacha wakaenda kwa ukaidi wa mioyo yao, Waenende katika mashauri yao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hivyo, nikawaacha wabaki na ukaidi wao; wafuate mashauri yao wenyewe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini walio ukoo wangu hawakuisikia hiyo sauti yangu, naye Isiraeli hakutaka kunifuata mimi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nikawaacha wakaenda kwa ukaidi wa mioyo yao, Waenende katika mashauri yao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Lakini watu wangu hawakunisikiliza; Israeli hakunitaka kabisa.