Psalms 81:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Laiti watu wangu wangenisikiliza! Laiti Israeli angefuata njia yangu!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Laiti watu wangu wangenisikiliza, laiti Israeli wangefuata njia zangu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Laiti watu wangu wangenisikiliza, Na Israeli angeenenda katika njia zangu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Laiti watu wangu wangenisikiliza! Laiti Israeli angefuata njia yangu!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Laiti kama watu wangu wangalinisikiliza, kama Israeli wangalifuata njia zangu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Laiti kama watu wangu wangalinisikiliza, kama Israeli wangalifuata njia zangu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Laiti watu wangu wangenisikiliza, Na Israeli angeenenda katika njia zangu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Laiti watu wangu wangenisikiliza! Laiti Israeli angefuata njia yangu!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nikawaacha, waufuate ugumu wao wa mioyo yao, wajiendee na kuyafanya mashauri yao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Laiti watu wangu wangenisikiliza, Na Israeli angeenenda katika njia zangu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hivyo, nikawaacha wabaki katika ugumu; wafuate mashauri yao wenyewe.