Psalms 81:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ningewashinda maadui zao haraka; ningenyosha mkono dhidi ya wadhalimu wao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ningewatiisha adui zao kwa haraka, na kuugeuza mkono wangu dhidi ya watesi wao!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ningewadhili adui zao kwa upesi, Na juu ya watesi wao ningegeuza mkono wangu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ningewashinda maadui zao haraka; ningenyosha mkono dhidi ya wadhalimu wao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ningaliwatiisha adui zao kwa haraka na kuugeuza mkono wangu dhidi ya watesi wao!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ningaliwatiisha adui zao kwa haraka, na kuugeuza mkono wangu dhidi ya watesi wao!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ningewadhili adui zao kwa upesi, Na juu ya watesi wao ningegeuza mkono wangu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ningewashinda maadui zao haraka; ningenyosha mkono dhidi ya wadhalimu wao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kama wangekuwa ukoo wangu, wangenisikia, kama wangekuwa Waisiraeli, wangezishika njia zangu,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ningewadhili adui zao kwa upesi, Na juu ya watesi wao ningegeuza mkono wangu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Heri watu wangu wangenisikiliza! Heri Israeli angefuata njia zangu!