Psalms 81:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wanichukiao wangenipigia magoti kwa hofu, na adhabu yao ingekuwa ya milele.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wale wanaomchukia Mwenyezi Mungu wangejikunyata mbele zake, na adhabu yao ingedumu milele.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wamchukiao Bwana wangenyenyekea mbele zake, Bali wakati wao ungedumu milele.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wanichukiao wangenipigia magoti kwa hofu, na adhabu yao ingekuwa ya milele.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wale wanaomchukia BWANA wangalinywea mbele zake, na adhabu yao ingedumu milele.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wale wanaomchukia bwana wangalinyenyekea mbele zake, na adhabu yao ingedumu milele.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wamchukiao BWANA wangenyenyekea mbele zake, Na maangamizi yao yangedumu milele.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wanichukiao wangenipigia magoti kwa hofu, na adhabu yao ingekuwa ya milele.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
nami ningewainamisha upesi adui zao, mkono wangu ungewarudia wao waliowasonga.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wamchukiao BWANA wangenyenyekea mbele zake, Bali wakati wao ungedumu milele.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ningewashinda waadui zao haraka; ningenyoosha mukono juu ya wapinzani wao.