Psalms 81:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini wewe ningekulisha kwa ngano bora, ningekushibisha kwa asali ya mwambani.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Bali ninyi mngelishwa ngano iliyo bora, na kuwatosheleza kwa asali inayotoka kwenye mwamba.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naam, ningewalisha kwa unono wa ngano, Ningewashibisha kwa asali itokayo mwambani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini wewe ningekulisha kwa ngano bora, ningekushibisha kwa asali ya mwambani.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Bali ninyi mngalilishwa ngano iliyo bora, na kuwatosheleza kwa asali itokayo kwenye mwamba.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Bali ninyi mngalilishwa ngano iliyo bora, na kuwatosheleza kwa asali itokayo kwenye mwamba.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naam, ningewalisha kwa ngano iliyo bora zaidi, Ningewashibisha kwa asali itokayo mwambani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini wewe ningekulisha kwa ngano bora, ningekushibisha kwa asali ya mwambani.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wachukivu wake Bwana wangemnyenyekea, lakini wao siku zao zingekuwa za kale na kale.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naam, ningewalisha kwa unono wa ngano, Ningewashibisha kwa asali itokayo mwambani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wanaonichukia wangenipigia magoti kwa hofu, na azabu yao ingekuwa ya milele.