Psalms 81:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hiyo ndiyo kanuni katika Israeli; hilo ndilo agizo la Mungu wa Yakobo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
hii ni amri kwa Israeli, agizo la Mungu wa Yakobo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa maana ni sheria kwa Israeli, Ni hukumu ya Mungu wa Yakobo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hiyo ndiyo kanuni katika Israeli; hilo ndilo agizo la Mungu wa Yakobo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
hii ni amri kwa Israeli, agizo la Mungu wa Yakobo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
hii ni amri kwa Israeli, agizo la Mungu wa Yakobo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa maana ni sheria kwa Israeli, Ni hukumu ya Mungu wa Yakobo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hiyo ndiyo kanuni katika Israeli; hilo ndilo agizo la Mungu wa Yakobo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Pigeni mabaragumu, mwezi ukiandama! Hata penye mbalamwezi! Ndio sikukuu yetu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maana ni sheria kwa Israeli, Ni hukumu ya Mungu wa Yakobo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mupige baragumu kutangaza mwandamo wa mwezi, na pia mbalamwezi wakati wa sikukuu yetu.